Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa.. Sijaona ni kwa namna gani Stand United si kwamba watashinda Bali hata kuambulia droo.. Na saa 10 ifike.Simba nguvu mojaView attachment 905916
Ni kweli Mkuu.. Hajar Ulimakafu kyata mgaagaa na upwa Sibonike Belo Guasa Amboni Frank Wanjiru na ndugu zenu.. Njooni mshuhudie kipigo kizito tunachowashushia wapiga debe wa Stand mpaka wanashindwa kushusha droo katika mabasi.
Mkijitahidi leo ni sare tasa.Ni kweli Mkuu.. Hajar Ulimakafu kyata mgaagaa na upwa Sibonike Belo Guasa Amboni Frank Wanjiru na ndugu zenu.. Njooni mshuhudie kipigo kizito tunachowashushia wapiga debe wa Stand mpaka wanashindwa kushusha droo katika mabasi.
Pia mtamkosa Boko.Tanzania Premier League (TPL) inaendelea tena leo ambapo kutakua na mtanange wa kukata na shoka katika dimba la Taifa. Katika mechi hii Bingwa Mtetezi Simba SC anawakaribisha Stand United.
Simba SC inaingia katika mechi hii ikiwa na 'mzuka' wa kutosha, na hii ni baada ya mwekezaji wake Mkuu, 'Bilionea Kijana' Mo Dewji kupatikana. Stand United nao wanaingia wakiwa na uhitaji sana wa point 3.
Katika mechi ya leo.. Simba SC atawakosa Jonas Mkude na Erasto Nyoni.. Huku 'beki kisiki' Juuko Murshid na Ndemla wakirejea katika 1st eleven.
Updates zaidi zinafuata..
Hana maisha huyuSimba nguvu mojaView attachment 905916
Dogo tulimwachia. Kikubwa ushindi tu.Hahaha.. Inamaana leo Kitenge hatafurukuta kama alivyofurukuta mara ya mwisho alivyokuja katika dimba la Taifa?
Si kila timu inaweza kuwapiga nne. Labda Azam na kama kawa Yanga.Kwa beki za Stand.. Kagere Atosha.
Hahaaa. Nishafika Mtani ila chonde chonde uwepo mpaka mwisho. 😀😀😀Ni kweli Mkuu.. Hajar Ulimakafu kyata mgaagaa na upwa Sibonike Belo Guasa Amboni Frank Wanjiru na ndugu zenu.. Njooni mshuhudie kipigo kizito tunachowashushia wapiga debe wa Stand mpaka wanashindwa kushusha droo katika mabasi.
Ewaaaaaaa. Nakazia ndugu yangu.Kila la heri Stand United tupo pamoja nanyi