Hujui kuwa Yanga wanaongoza Ligi,na nyie mnashindwa nini kuhamia kwenye goli lao?Yanga wamejaa nyuma kulinda goli ambalo hawana!
wanakurudisha jkt enzi za kuambiwa chini juu chiniii juuuu ganda hapo hapoHivi nyie Simba vp
mnaniamsha kwenye kiti mara 10
Narudi kukaa bila mafanikio
kha
Inatia huruma kwa kweliKama shabiki wa yanga hata tushinde hapa siwezi shabikia kwa ujinga unaochezwa uwanjani...
Kapata goli ngapi?Mnyama anatakata dk. 45 zote
Yani umenichosha kabisa Thad..kumbe umepotea njia. [emoji848][emoji57][emoji57][emoji57]
kwa kutumia sabuni aina ya revola? 😀Mnyama anatakata dk. 45 zote
Sasa mfunge? Mpira ni magoliYanga wamejaa nyuma kulinda goli ambalo hawana!
We timu gani?
Hapo safi, timu yetu bado iko imara tutawafunga hawa paka pori wanaojiita simbaYanga
Na hasira pia..Inatia huruma kwa kweli
Naomba wakianza unitag[emoji3]Ngoja niskilize DW kwanza nitarudi...