TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Hivi nyie Simba vp
mnaniamsha kwenye kiti mara 10
Narudi kukaa bila mafanikio
kha
 
Kwaakweeeliiii nipo hoiiii hawa yanga niwatakie tu kila la kheri sifa kuu zimfikie beno kakolanya vinginevyo [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Mama.e Yanga hamna timu, attack moja second half tunawatia ndani
 
Back
Top Bottom