GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Kombe gani mkuu? Usikimbie subiri mpaka mwishoHahaha.. Mkuu hivi TFF kwanini wasitupe kombe letu mapema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kombe gani mkuu? Usikimbie subiri mpaka mwishoHahaha.. Mkuu hivi TFF kwanini wasitupe kombe letu mapema?
Mkuu msije mkarusha chupa za maji Kwa kocha badayeTulia tunafunga muda wowote
Mwisho wa siku mnafungwaHaa haa Vyura wanautafuta mpira kwa tochi aisee!
Si kwa mipasi ile daaadaadekiiiiii
nyie andaeni tuu nguvu za kung'oa viti mie hapa na andaa ghettoandaa hiyo laki.imeshakula kwako
Mwisho wa siku mnafungwa
Hawa jamaa hawata amini hiliMwisho wa siku mnafungwa
Kilichosababisha mshindwe kipindi cha kwanza ndicho kitawafanya mfungwe kipindi cha pili, ushindi wa yanaga leoMama.e Yanga hamna timu, attack moja second half tunawatia ndani
umenena kunako mkuuu kweli naandaa sasaMkuu andaa ghetto mapema.. Leo hawa ni wetu
Leo tutaweka mikono juu kushangilia ushindi viunga vyote vya dsmMkuu msije mkarusha chupa za maji Kwa kocha badaye
Acha tu na pole kwa upande wa pili kule pia[emoji23] [emoji23]Kwaakweeeliiii nipo hoiiii hawa yanga niwatakie tu kila la kheri sifa kuu zimfikie beno kakolanya vinginevyo [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Ushindi upo Yanga unaonekana kabisaKilichosababisha mshindwe kipindi cha kwanza ndicho kitawafanya mfungwe kipindi cha pili, ushindi wa yanaga leo
Nimeacha kutizama mpiraWatu wakweli kama nyinyi mmebaki wachache duniani.
Jamani we acha hoiiiiii bora ningempa krasanador nikamuacha zenitAcha tu na pole kwa upande wa pili kule pia[emoji23] [emoji23]
Hahaha captain Yondani na Dante wanawasalimia wazee wa uturuki 😛😛Hii ndo Simba ya Uturuki tunayoijua sisi
Ha ha ha pole Mkuu.Nimeacha kutizama mpira