Ligi ipi hiyo, Kama ni ligi kuu Tanzania bara anayeongoza ni Mbao FC.Siye tunaongoza ligi mkuu umesahau hilo
ahhaahha nyie attack ngapi na magoli mangapiMama.e Yanga hamna timu, attack moja second half tunawatia ndani
Ahsante mkuuKwaakweeeliiii nipo hoiiii hawa yanga niwatakie tu kila la kheri sifa kuu zimfikie beno kakolanya vinginevyo [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Andaa geto mkuuLEO MIMI NA DEMU WANGU TUMEHAIDIANA KUWA YANGA IKIIFUNGA SIMBA ANAKUJA GHETTO ILI NI MGEGEDE MPAKA KESHO ILA KAMA SIMBA IKIIFUNGA YANGA MIMI NINA MTUMIA HELA 100,000/==
Sawa Kwa masahihisho,kwa maneno mengine tumewapitaLigi ipi hiyo, Kama ni ligi kuu Tanzania bara anayeongoza ni Mbao FC.
Watu wakweli kama nyinyi mmebaki wachache duniani.Kama shabiki wa yanga hata tushinde hapa siwezi shabikia kwa ujinga unaochezwa uwanjani...
andaa hiyo laki.imeshakula kwakoLEO MIMI NA DEMU WANGU TUMEHAIDIANA KUWA YANGA IKIIFUNGA SIMBA ANAKUJA GHETTO ILI NI MGEGEDE MPAKA KESHO ILA KAMA SIMBA IKIIFUNGA YANGA MIMI NINA MTUMIA HELA 100,000/==
Bi Hindu tuliaNasema hivi.. Leo Ndala ni nyie ni wetu tu.. Hamna pakutokea.
Yanga ni timu bora kuliko Simba. Nilichokitegemea ni Simba mpaka sasa kufungwa si chini ya goli mbili.Usiwe na hofu mechi ya Yanga hii
Attack 20 zote hamna kituMama.e Yanga hamna timu, attack moja second half tunawatia ndani
Nasema hivi.. Leo Ndala ni nyie ni wetu tu.. Hamna pakutokea.
Tulia tunafunga muda wowoteKapata goli ngapi?
Yanga mbele daima nyuma mwikoYanga ni timu bora kuliko Simba. Nilichokitegemea ni Simba mpaka sasa kufungwa si chini ya goli mbili.
Simba ana wakati mgumu sana sababu kashapoteza 5 points kwenye game zilizopita.
Assumption za mwalimu ni kuwa simba watakuja kwa kasi sana ili wafidie point walizopoteza ndio maana tukawa tunacheza defensive sana hata hivyo walivyokuja si tulivyotegemea. Timu yetu ilitakiwa dakika ya 26 wabadili mchezo all in all tunashinda hii game.
TIMU YANGU YANGA MILELE NITAIPENDA NA KUISHANGILIA.