TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

LEO MIMI NA DEMU WANGU TUMEHAIDIANA KUWA YANGA IKIIFUNGA SIMBA ANAKUJA GHETTO ILI NI MGEGEDE MPAKA KESHO ILA KAMA SIMBA IKIIFUNGA YANGA MIMI NINA MTUMIA HELA 100,000/==
 
Timu yangu YANGA inabidi ibadili game plan......wanatusikitisha fans Kwa kweli..!!!!
 
LEO MIMI NA DEMU WANGU TUMEHAIDIANA KUWA YANGA IKIIFUNGA SIMBA ANAKUJA GHETTO ILI NI MGEGEDE MPAKA KESHO ILA KAMA SIMBA IKIIFUNGA YANGA MIMI NINA MTUMIA HELA 100,000/==
Mkuu andaa ghetto mapema.. Leo hawa ni wetu
 
LEO MIMI NA DEMU WANGU TUMEHAIDIANA KUWA YANGA IKIIFUNGA SIMBA ANAKUJA GHETTO ILI NI MGEGEDE MPAKA KESHO ILA KAMA SIMBA IKIIFUNGA YANGA MIMI NINA MTUMIA HELA 100,000/==
andaa hiyo laki.imeshakula kwako
 
Usiwe na hofu mechi ya Yanga hii
Yanga ni timu bora kuliko Simba. Nilichokitegemea ni Simba mpaka sasa kufungwa si chini ya goli mbili.

Simba ana wakati mgumu sana sababu kashapoteza 5 points kwenye game zilizopita.

Assumption za mwalimu ni kuwa simba watakuja kwa kasi sana ili wafidie point walizopoteza ndio maana tukawa tunacheza defensive sana hata hivyo walivyokuja si tulivyotegemea. Timu yetu ilitakiwa dakika ya 26 wabadili mchezo all in all tunashinda hii game.

TIMU YANGU YANGA MILELE NITAIPENDA NA KUISHANGILIA.
 
Yanga mbele daima nyuma mwiko
 
Back
Top Bottom