TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Kwaakweeeliiii nipo hoiiii hawa yanga niwatakie tu kila la kheri sifa kuu zimfikie beno kakolanya vinginevyo [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Acha tu na pole kwa upande wa pili kule pia[emoji23] [emoji23]
 
Haa haa Vyura wanautafuta mpira kwa tochi aisee!

Si kwa mipasi ile daaadaadekiiiiii
Mkuu.. Inabidi tufanye mpango tuhame ligi.. Mana hapa Bongo tushakosa mpinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…