TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Halafu yanga kikosi chetu siyo kipana. Inshaallah dirisha dogo nina imani mwalimu atafanya usajili mzuri.
 
Naona timu yetu ya Simba inaendelea kuonesha kuwa ina viungo ambavyo si vitamu kwenye mboga!!

Twende kazi...
 
Yanga wanachachamaa sasa!....nafikiri wakati wa half time wamepewa msosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…