Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Umezungumzia mbao eeeh?.Kumbuka mpaka sasa Mnyama mkali kafungwa vigoli 2 tu, pamoja na kucheza mechi kibaoooo.. Moja kati ya hayo magoli tulifungwa na Mbao kwa nguvu ya sayansi ya kiafrika.
Kwa ile beki yenu iliyooza lazima MK14 awageuze geuze anavyotaka.. Hapo bado kuna CR7 toka Uganda.. Kuna Kichuya.. Kuna Mo.. Kuna Super Sub Salamba.. n.k
Kwa kifupi leo pona yenu msiingize timu uwanjani.. Kama mnabisha, ingizeni timu uwanjani muone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok safi sana kama unawakumbuka mengine ya sayansi ya kiafrika hayanihusu japo yananifanya nimkumbuke aliyewaita mbumbumbu