Umezungumzia mbao eeeh?.Kumbuka mpaka sasa Mnyama mkali kafungwa vigoli 2 tu, pamoja na kucheza mechi kibaoooo.. Moja kati ya hayo magoli tulifungwa na Mbao kwa nguvu ya sayansi ya kiafrika.
Kwa ile beki yenu iliyooza lazima MK14 awageuze geuze anavyotaka.. Hapo bado kuna CR7 toka Uganda.. Kuna Kichuya.. Kuna Mo.. Kuna Super Sub Salamba.. n.k
Kwa kifupi leo pona yenu msiingize timu uwanjani.. Kama mnabisha, ingizeni timu uwanjani muone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Impacts ya vigoli viwili tu na magoli manne kwenye msimamo upoje?nmependa ulivyotumia ngeli ya KI-VI (vigoli viwili),unazi tabu kweli kweliUimara wa safu za ulinzi mpaka sasa
1. Simba SC kafungwa vigoli viwili tu
2. Yanga SC kafungwa magoli manne
Ikumbukwe mpaka sasa Simba SC kacheza mechi nyingi ukilinganisha na Ndala.
Sawa. HongereniHahaha.. Mkuu hii mechi tushaimaliza. Tunasubiri saa 11 tukamilishe ratiba.
Wangesema kimoja tu cha mbao....sijui walitaka vingapi mbuzi hawa? Kigoli kimoja utadhan hakijawanyima pointi 3Impacts ya vigoli viwili tu na magoli manne kwenye msimamo upoje?nmependa ulivyotumia ngeli ya KI-VI (vigoli viwili),unazi tabu kweli kweli
Nipo Taifa Stadium hapa.. Kuna shabiki wa Simba anapiga dua hapa..Umezungumzia mbao eeeh?.
Ok safi sana kama unawakumbuka mengine ya sayansi ya kiafrika hayanihusu japo yananifanya nimkumbuke aliyewaita mbumbumbu
Sidhani kama yanga atakubari kuburuzwa tena mara mbili mfululizi natabiri sare ya moja moja
Impact yake iko hivi;Impacts ya vigoli viwili tu na magoli manne kwenye msimamo upoje?nmependa ulivyotumia ngeli ya KI-VI (vigoli viwili),unazi tabu kweli kweli
Hahahaha.. Maana hakuna namna, tushachoka sisi.Watalazimishwa kukubali ndivyo ilivyo. Mnyama atamkokota tena hadi pale bwawani
Tena vigoli vyenyewe kamoja kapenati hapo ndio ujue safu yetu ya ulinzi ilivyo imaraUimara wa safu za ulinzi mpaka sasa
1. Simba SC kafungwa vigoli viwili tu
2. Yanga SC kafungwa magoli manne
Ikumbukwe mpaka sasa Simba SC kacheza mechi nyingi ukilinganisha na Ndala.
Sio Dar es salaam leo ni wenyeji wa mchezo huu tukiwa uwanja wa taifa hapa jijini .............Kumbuka mmecheza dakika 180 bila ya kufunga hata goli la offside...
Uimara wa safu za ulinzi mpaka sasa
1. Simba SC kafungwa vigoli viwili tu
2. Yanga SC kafungwa magoli manne
Ikumbukwe mpaka sasa Simba SC kacheza mechi nyingi ukilinganisha na Ndala.
Haitokei hata siku moja. Win or lose tupo gado. Na leo ushindi ni asubuhi tu. Msianze kutafuta wachawi
Hahaha.. Ni kweli Mkuu. Leo hakuna cha Ajibu, Babu Tambwe au Mama Kambo.. Wote leo wanawekwa mfukoni.Tena vigoli vyenyewe kamoja kapenati hapo ndio ujue safu yetu ya ulinzi ilivyo imara