Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ngoja nijiquote MwenyeweChelsea Liverpool Droo,Real Madrid na Atletico Droo pia Simba na Yanga Leo droo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nijiquote MwenyeweChelsea Liverpool Droo,Real Madrid na Atletico Droo pia Simba na Yanga Leo droo
Hawana maana hawa mbumbumbu fc,wote ni Janga la taifa hata Kapuya naye Simba.Ndugai na Ummy Mwalimu wote ni Simba. Wangemleta na Makonda kabisa.
Kwa hiyo Simba mlifungwa kisaikolojia hata kabla ya mechi kuisha?
Mkuu, nyie Mmefika wapi?Unajua Mkuu.. Ndo mana hii mijamaa haiendelei ipo pale pale siku zote.
Duh, hauja edit Mkuu?Ngoja nijiquote Mwenyewe
Hatuamini hayo Mkuu. Ni game plan tu. You have better players. Tumecheza kwa kujua hilo. Ndiyo mpira.Mkuu.. Mganga wenu msimuache.
Fuata post yangu ya Kwanza kama utaona editDuh, hauja edit Mkuu?
Au unamaanisha zilikua fixed?
Itaendelea vipi haliyakuwa mpira haijui halafu yanashangilia kutoa suluhu na timu bora kabisa ya SIMBAUnajua Mkuu.. Ndo mana hii mijamaa haiendelei ipo pale pale siku zote.
Bado kidogo nitakuwa Mtabiri wa NyotaDuh, hauja edit Mkuu?
Au unamaanisha zilikua fixed?
Leo kibao kimegeuka jana nliona mashabiki wanasema bench la ufundi limefanya kazi yake vizur sasa mnatugeuzia kibao daaMkuu mipira si mmoja ni mingi inagoma kuingia, na mbaya zaidi hata refa walimroga hadi kakataa goli..chezea uchawi wewe[emoji3][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mkuu simba mmeshinda??Refa kaondoka na bao. Asanteni Vyura kwa mpira wa hovyo hovyo na rafu
Lakini tumewafundisha mpira leo! This Is Simba
Atakuwa kazima dataSaa moja imefika
Nakusikitikia mkuu,Kapuya nimejaa naye tunapiga stories mashine kwake Yombo Kigilagila,namfahamu na mwaka 1998 akiwa uwaziri waelimu mtihani ulivuja nchi nzima,ana tuhuma za kubaka na kuambukiza ukimwi ,namfahamu kiongozi.Mkuu.. Unamjua Kapuya kweli au unabwabwaja tu?
Kwa taarifa yako tu.. Ukitaja wanazuoni wa5 nchi hii.. Sembo na Kapuya lazima wawepo.
Huyu Kapuya aliyesema mlitaka apande Punda au Yule aliyekuwa anabambia katoto SinzaMkuu.. Unamjua Kapuya kweli au unabwabwaja tu?
Kwa taarifa yako tu.. Ukitaja wanazuoni wa5 nchi hii.. Sembo na Kapuya lazima wawepo.