Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ulitaka Kakolanya asiwe anadaka mipira hivi unajua kazi ya golikipa?Wana haki ya kushangilia droo..
Hongera sana BENO KAKOLANYA uko poa sana tena sana..
Umeonyesha uwezo mkubwa sana, lakini hapohapo umeonyesha uwezo wa beki'line yako ilivyokuwa inakutegemea wewe uokoe jahazi.
Simba iko poa sana.. Game ya 6 ligi mbichi hii..
CHAMA, MKUDE, KOTEI.. Mmewalaza viungo wale na viatu balaa.,
HAWATASAHAU!!