TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Wana haki ya kushangilia droo..
Hongera sana BENO KAKOLANYA uko poa sana tena sana..
Umeonyesha uwezo mkubwa sana, lakini hapohapo umeonyesha uwezo wa beki'line yako ilivyokuwa inakutegemea wewe uokoe jahazi.
Simba iko poa sana.. Game ya 6 ligi mbichi hii..
CHAMA, MKUDE, KOTEI.. Mmewalaza viungo wale na viatu balaa.,
HAWATASAHAU!!
Ulitaka Kakolanya asiwe anadaka mipira hivi unajua kazi ya golikipa?
 
Nilikua namuamlaumu Rage kumbe alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
Achana na mimi mpuuzi usiojielewa wewe.

Mbona nyie Vyura Katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Mosonye aliwaaita Wapumbavu, pia mna vichwa vya Ndezi katika michuano ya Kagame kabla ya hii ya mwaka huu.

Au ulikuwa hujaja mjini..!
 
1538362311403.png
 
MLICHOKOSEA N. KUSHIRIKISHA VIONGOZI WA SIMBA NA YANGA GAMR MOJA MTALIATI
 
Back
Top Bottom