TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Hawana maana hawa mbumbumbu fc,wote ni Janga la taifa hata Kapuya naye Simba.
Mkuu.. Unamjua Kapuya kweli au unabwabwaja tu?
Kwa taarifa yako tu.. Ukitaja wanazuoni wa5 nchi hii.. Sembo na Kapuya lazima wawepo.
 
Mkuu mipira si mmoja ni mingi inagoma kuingia, na mbaya zaidi hata refa walimroga hadi kakataa goli..chezea uchawi wewe[emoji3][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Leo kibao kimegeuka jana nliona mashabiki wanasema bench la ufundi limefanya kazi yake vizur sasa mnatugeuzia kibao daa
 
Mkuu.. Unamjua Kapuya kweli au unabwabwaja tu?
Kwa taarifa yako tu.. Ukitaja wanazuoni wa5 nchi hii.. Sembo na Kapuya lazima wawepo.
Nakusikitikia mkuu,Kapuya nimejaa naye tunapiga stories mashine kwake Yombo Kigilagila,namfahamu na mwaka 1998 akiwa uwaziri waelimu mtihani ulivuja nchi nzima,ana tuhuma za kubaka na kuambukiza ukimwi ,namfahamu kiongozi.
 
Mkuu.. Unamjua Kapuya kweli au unabwabwaja tu?
Kwa taarifa yako tu.. Ukitaja wanazuoni wa5 nchi hii.. Sembo na Kapuya lazima wawepo.
Huyu Kapuya aliyesema mlitaka apande Punda au Yule aliyekuwa anabambia katoto Sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…