Naiona safari ya Zanzibar kwa mganga wenu.Mechi ijayo tutadili nao vizuri tu.. Ndani na Nje ya uwanja
Wajinga ndo waliwaoNaiona safari ya Zanzibar kwa mganga wenu.
Naona mganga wa yanga kazifuta zile mbili.bahati yao.
Ng'ombe Mzee ni ngumu kufunza mambo mapya.Usiumize kichwa Mkuu. Mna wachezaji wazuri zaidi. Tuna kocha bora zaidi.
Mkuu achana na hawa SimbaJina lako linabeba uhalisia wako,2018 unaamini ushirikina!
Mkuu hawa watu hawawezi kukuelewa ni wabishi mnooNi bingwa mtetezi wa TPL, FA n.k
Mkuu hizo za ulaya sikutabiri japo ya Chelsea jana imenipa supu nilichez inplay baada ya Chelsea kupata goli,droo ilikuwa na odds 3.3 Kwa kutumia matokeo ya Timu za Ulaya nikaotea na Derby ya Kariakoo nikajua tu kuwa nyota ya weekend inafanana koteDah,
Manake Draw hapa ni kuanzia 3.5 kwa game tatu kisha ukatia hata 10,000 hukosi laki 5 aisee,
Embu nitabirie zijazo bas kaka nimpige kanji
PointUsiumize kichwa Mkuu. Mna wachezaji wazuri zaidi. Tuna kocha bora zaidi.
Man of the mach AJIBU na ndo alishikilia dawa, wameanzisha mpira tu kautoa nje maksudi. Maelekezo ya mganga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jina lako linabeba uhalisia wako,2018 unaamini ushirikina!
Ombelezeni tuUnaomboleza wengine wanashangilia droo. Tupo tofauti mkuu..!
Shukuruni hata Kwa hicho kidogo,nyie hamjui Historia ya Simba na Yanga.Timu moja hata iwe mbovu kiasi gani lakini ikifika Derby ubovu wa Timu moja Huwa hauipi guarantee Timu pinzani kushindaUnaomboleza wengine wanashangilia droo. Tupo tofauti mkuu..!
Huu mkocha.. Mda wake wa kufanya kazi Tanzania unahesabika'Kama Huwezi shinda, usipigwe' - Zahera
'Wachezaji wengi walipotea sababu tulibadiri tactic, hili ni tatizo kwa Wachezaji Naona huku' - Zahera
'Mechi ya Coastal Ngassa alipotea vile tulibadiri tactic, leo Ajib na Kaseke wakapotea, mchezaji wa Duniani inatakiwa ufanye vile unaambiwa na kufanya kazi, ni kama unafanya copy' - Zahera
'Tulipanga tuwaachie mpira, inatakiwa ukimuachia mipira ukipata kimbia sana, lkn problem Ajib, Kaseke wakipata mipira wanatembea' - Zahera
'Tuliwaambia vile Simba wanacheza watajaa kati kati hivyo Tuliwaambia Ajib, Kaseke na Tshishimbi wajae Ndani wawe wanakimbia ndani na kufunga' - Zahera
'Niliwatoa Ajib na Kaseke kwa sababu walishindwa kufuata vile tumeongea na kukubaliana'- Zahera
Hapa Yanga kocha tumepata
Mtu unajua mwenzio kaenda Kwa mganga kwanini we huendi?nyie mnaojifanya hamuamini ushirikina.ndo wa kwanza kukesha kwa waganga.