TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Achana na mimi mpuuzi usiojielewa wewe.

Mbona nyie Vyura Katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Mosonye aliwaaita Wapumbavu, pia mna vichwa vya Ndezi katika michuano ya Kagame kabla ya hii ya mwaka huu.

Au ulikuwa hujaja mjini..!
Kuna mpumbavu kuliko anayefuatilia redioni mechi inayooneshwa mubashara kwenye TV mbele yake? Na bado unaipa uzito kauli ya mtu wa aina hiyo? Usishangae, huyo ndiye Musonye wa CECAFA unayemsema, anayechezesha Kombe la Chalenji wakati ulimwngu wote uko kwenye Kombe la Dunia!
 
Vijna Wamecheza! Wamejituma Ni vile tuuh kwenye Magori ya Yanga kulikuwa ni Bahari
 
Sasa hii mechi ya 2.. Goli zitatoka angle zote
Mkifika kwa huyu ana kataaa umeme
Yondan.jpeg
 
Mpaka Sasa tumeshawavua maana tupo mbele yako,na hamtatukuta
Na Ue Ivyo Ivyo Mbele Yanguu Maana Ukigeukaa Tuuh Sijuhi Kitakachokutokea

Umetuvua Ubingwa Kwa Hii Droo Ya Leo Ama!???
Mmeshawamaliza Wa Kanda Ya Ziwa Au Bado!??
 
Na Ue Ivyo Ivyo Mbele Yanguu Maana Ukigeukaa Tuuh Sijuhi Kitakachokutokea

Umetuvua Ubingwa Kwa Hii Droo Ya Leo Ama!???
Mmeshawamaliza Wa Kanda Ya Ziwa Au Bado!??
Yaani kanda ya Ziwa kawashinda nyie sie mwaka huu tunamaliza ligi kibabe
 
Acha kukurupuka kipindi hicho haikuwa Kombe la Dunia. Ndo maana Yanga walifungiwa.

Back
Top Bottom