Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
We Ulotulia Tunaomba Utuvuee UbingwaMtamaliza wa tatu kwenye ligi kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Ulotulia Tunaomba Utuvuee UbingwaMtamaliza wa tatu kwenye ligi kuu
Kuna mpumbavu kuliko anayefuatilia redioni mechi inayooneshwa mubashara kwenye TV mbele yake? Na bado unaipa uzito kauli ya mtu wa aina hiyo? Usishangae, huyo ndiye Musonye wa CECAFA unayemsema, anayechezesha Kombe la Chalenji wakati ulimwngu wote uko kwenye Kombe la Dunia!Achana na mimi mpuuzi usiojielewa wewe.
Mbona nyie Vyura Katibu mkuu wa Cecafa Nicholas Mosonye aliwaaita Wapumbavu, pia mna vichwa vya Ndezi katika michuano ya Kagame kabla ya hii ya mwaka huu.
Au ulikuwa hujaja mjini..!
Mechi ijayo, tunamuweka Kakolanya peke yake acheze 1 hadi 11.Unafikiri Kakolanya alikuwa golini kama Pazia?
Mpaka Sasa tumeshawavua maana tupo mbele yako,na hamtatukutaWe Ulotulia Tunaomba Utuvuee Ubingwa
Mkifika kwa huyu ana kataaa umemeSasa hii mechi ya 2.. Goli zitatoka angle zote
Kabisa Hawa Simba wanaleta habari za Cha ndimu eti bahati yako ulivaa viatu.wanamind walidhani Kakolanya yupo Pale kuachia magoli yaingie tu kumbe kazi yake kuzuia magoliMechi ijayo, tunamuweka Kakolanya peke yake acheze 1 hadi 11.
Nini? mjamzito..![emoji23]View attachment 882637
Kagera sugar mbambe wenu wa siku zote atawapigaUnasema nini?
We uliingia uwanjani kucheza?Vijna Wamecheza! Wamejituma Ni vile tuuh kwenye Magori ya Yanga kulikuwa ni Bahari
Na Ue Ivyo Ivyo Mbele Yanguu Maana Ukigeukaa Tuuh Sijuhi KitakachokutokeaMpaka Sasa tumeshawavua maana tupo mbele yako,na hamtatukuta
Na mtatoa droo kama leoSawa
Mbuzi marehemu bibi yako,nyinyi ndo mmeanza matusiUmeanza matusi yako wee mbuzi
Yaani kanda ya Ziwa kawashinda nyie sie mwaka huu tunamaliza ligi kibabeNa Ue Ivyo Ivyo Mbele Yanguu Maana Ukigeukaa Tuuh Sijuhi Kitakachokutokea
Umetuvua Ubingwa Kwa Hii Droo Ya Leo Ama!???
Mmeshawamaliza Wa Kanda Ya Ziwa Au Bado!??
Kuna mpumbavu kuliko anayefuatilia redioni mechi inayooneshwa mubashara kwenye TV mbele yake? Na bado unaipa uzito kauli ya mtu wa aina hiyo? Usishangae, huyo ndiye Musonye wa CECAFA unayemsema, anayechezesha Kombe la Chalenji wakati ulimwngu wote uko kwenye Kombe la Dunia!
Sijasema hasidake... hujanielewa tu. ndio maana nikampongeza, ukuta wake ameuzibia makosa yote.Ulitaka Kakolanya asiwe anadaka mipira hivi unajua kazi ya golikipa?
We uliingia uwanjani kucheza?