TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Sina maneno mengi ila pongezi zangu zote ziende kwa Beno Kakolanya golikipa wa timu ya Yanga ,
Yeye ndio aliyeamua matokea ya sare kwenye derby hii iliyochezwa leo uwanja wa Taifa.

Anastahili kuwa man of the match.


 
Da Ila leo Vyura Mungu anawaona du
kwanini Msifanye hivi kwa tim ya Taifa
 
Big up Simba mmecheza soka la kimataifa,yanga miharo imewagonga chupi Leo wakiomba mpira uishe


Kila timu ilikuwa na game plan yake!


Game plan ya Yanga ilizaa haya matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…