Sijuhi niseme Nini Simba yangu
Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Kila timu ilikuwa na game plan yake!
Game plan ya Yanga ilizaa haya matokeo.
Unafikiri Kakolanya alikuwa golini kama Pazia?
Ni kweli maana wachezaji tisa wa yanga dhidi ya mchezaji mmoja wa simbaSimba mmejitahidi kutoa droo hakuna anayebisha hilo
Wanasubiri Haji atapike waanze kuimba kama kasuku.
Pigia Makofi tu...Maana hamna namna.
Wenzako wanatembeza Full Time Stats na kuanza kulingia hizo takataka....
Wanasahau msimamo unasomekaje kule TFF.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unazungumzia msimamo mechi ya sita mbaya Zaidi mechi zote mmecheza dar tena kwa mechi hii mliyokimbizwa na Simba dk93 mnahemea juujuu
Pigia Makofi tu...Maana hamna namna.
Wenzako wanatembeza Full Time Stats na kuanza kulingia hizo takataka....
Wanasahau msimamo unasomekaje kule TFF.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WASHIRIKINA FC wanachekesha sana.Wanasubiri Haji atapike waanze kuimba kama kasuku.
Kwahiyo Simba kimataifa huwa wanafunga ngapi?Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Beno kawa tishio kwa sasa kwa Yule Jamaa yao aliyetoka Azam FC.
Hawaamini kilichotokea na aliyoyafanya kabisa.
Wameshazoea Makipa wa kuwanunu wakina Barthez.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Biashara asubuhi jioni mahesabuHivi unazungumzia msimamo mechi ya sita mbaya Zaidi mechi zote mmecheza dar tena kwa mechi hii mliyokimbizwa na Simba dk93 mnahemea juujuu
Hatimaye umeibuka baada ya ushindi wa droo...! Gooooooal namna gani hapa refa anakataaa bao[emoji3][emoji196][emoji3][emoji196][emoji3][emoji196]
Mpira wa miguu unaamuliwa Kwa magoli,unajua hilo nduguKwa mpira huu waliocheza yanga Leo hamna timu pale
Asipokuelewa atakuwa ana kichwa kigumu
Labda nikusaidie tu.
Seasonal Plan yetu kwa msimu 2018/19 ni kutopoteza mchezo hata mmoja.
Nadhani hapo umeelewa?
Waende Mara ngapi...?[emoji23][emoji23][emoji23]Naiona safari ya Zanzibar kwa mganga wenu.
Matokeo vp ya utabiri wakoSina wasi wasi na Simba naamini itaibuka na ushindi wa kishindo.
Simba Bora msingeomba ile mechi ya katikati isiahirishwe,sijui mliomba Kwa sababu gani,maana Leo hakuna kigeni mmefanyaPlan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
na hawa walioenda kuoga Maji ya Maiti kule kwa Sangoma tuwaiteje..Man of the mach AJIBU na ndo alishikilia dawa, wameanzisha mpira tu kautoa nje maksudi. Maelekezo ya mganga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Simba wanacheza tu sidhani kama wana plan yeyote usishangae kuona keshokutwa wanafungwa na Prison
Kila timu ilikuwa na game plan yake!
Game plan ya Yanga ilizaa haya matokeo.