TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Sijuhi niseme Nini Simba yangu

Pigia Makofi tu...Maana hamna namna.

Wenzako wanatembeza Full Time Stats na kuanza kulingia hizo takataka....

Wanasahau msimamo unasomekaje kule TFF.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila timu ilikuwa na game plan yake!

Game plan ya Yanga ilizaa haya matokeo.
Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
 
Pigia Makofi tu...Maana hamna namna.

Wenzako wanatembeza Full Time Stats na kuanza kulingia hizo takataka....

Wanasahau msimamo unasomekaje kule TFF.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasubiri Haji atapike waanze kuimba kama kasuku.
 
Pigia Makofi tu...Maana hamna namna.

Wenzako wanatembeza Full Time Stats na kuanza kulingia hizo takataka....

Wanasahau msimamo unasomekaje kule TFF.

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unazungumzia msimamo mechi ya sita mbaya Zaidi mechi zote mmecheza dar tena kwa mechi hii mliyokimbizwa na Simba dk93 mnahemea juujuu
 
Plan ya kupaki basi kwa timu kama yanga ni fedhea, unaingia uwanjani ili kuizuia simba an sio kucheza mpira, ndio maana kimataifa mnakulaga mvua
Kwahiyo Simba kimataifa huwa wanafunga ngapi?
Wee jamaa ni meee kweli unamkumbuka Josee na Chelsea yake dhidi ya Barcelona?
 
Kwa mpira huu waliocheza yanga Leo hamna timu pale

Beno kawa tishio kwa sasa kwa Yule Jamaa yao aliyetoka Azam FC.

Hawaamini kilichotokea na aliyoyafanya kabisa.

Wameshazoea Makipa wa kuwanunu wakina Barthez.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatimaye umeibuka baada ya ushindi wa droo...! Gooooooal namna gani hapa refa anakataaa bao[emoji3][emoji196][emoji3][emoji196][emoji3][emoji196]

Nakufahamisha tu.

Ukuwa uwanja wa Taifa tena kwenye mtanange mkubwa kama huu....Unapataje muda wa kushika simu baada ya kuwa busy kutazama burudani..?

Muda wa simu kuwa nao wewe uliye kibanda umiza hivi sasa...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naiona safari ya Zanzibar kwa mganga wenu.
Waende Mara ngapi...?[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1538285970168.jpg
FB_IMG_1538285967136.jpg
 
Back
Top Bottom