Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Halafu wanategemea kushinda
Ni bingwa mtetezi wa TPL, FA n.k
Ila hamzidi yule aliyemtuma Meneja wa Timu yenu kuchimbia hirizi golini....Naona mganga wa yanga kazifuta zile mbili.bahati yao.
Iyo plan ulikaa na nani, huu mpira na sio biashara za sokoni
Labda nikusaidie tu.
Seasonal Plan yetu kwa msimu 2018/19 ni kutopoteza mchezo hata mmoja.
Nadhani hapo umeelewa?
Asee huyu kakolanya kama amunike anamfuatilia tanzania one ina muhusu mana unaweza dhani jamaa jini si kwa kudaka hukoKakolanya katusaidia sana ukweli usemwe tu wazi
Biashara asubuhi jioni mahesabu
Simba hawana game plan.Simba wanacheza tu sidhani kama wana plan yeyote usishangae kuona keshokutwa wanafungwa na Prison
Simba wanacheza mpira utadhani kuku aliyekatwa shingo...Simba wanacheza tu sidhani kama wana plan yeyote usishangae kuona keshokutwa wanafungwa na Prison
Hayo magoli hayaji tu lazima kiwango kihusikeMpira wa miguu unaamuliwa Kwa magoli,unajua hilo ndugu
Kazi ya Yanga ni kucheza mpira. Mambo ya Waganga ni ya mikia.Yanga mganga wenu nimemnyooshea mikonoView attachment 882682
Shauri yako utakumbuka shuka kumekuchaSio kila siku ijumaa
Simba Bora msingeomba ile mechi ya katikati isiahirishwe,sijui mliomba Kwa sababu gani,maana Leo hakuna kigeni mmefanya
Wana bunduki lakini wanashindwa kuzitumiaSimba hawana game plan.
Wakimpata kocha kama Zahera wanaweza kutwaa Ubigwa wa CAF.
Ila yule shahidi wa Yehova sijui wamemtoa wapi kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hamzidi yule aliyemtuma Meneja wa Timu yenu kuchimbia hirizi golini....
[emoji23][emoji23]View attachment 882676
Jipeni moyoShauri yako utakumbuka shuka kumekucha
Siku hizi bench la ufundi la Yanga linatumia jezi nyekundu...si ndio?Wa yanga huyo
Alicheza NAMBA ngapi MKUU?Mara hii tu mganga mmeshamsahau?mpeni pongezi mganga