TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Kusema Ukweli Dogo Paul Godfrey kafanya kanzi nzuri sana.

Unajua kwa kijana kama yeye kumuweka Mfukoni mtu kama Emmanuel Okwi mpaka Okwi akawa anabadilisha upande si kitu cha mzaa kabisa.

Jambo lingine la kustaajabisha staa wenu mwingine Meddie Ngederw kuwekwa mfukoni na Shaibu Ninja.

Ebwana ehh....

Huyo Makambo akienda huyu yuko na Babu akirudi uku yuko na Nyoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tukutane Mwakani mtani....nitakutandika vibaya mno.
 
Mbumbumbu FC mtawafunga timu dhaifu tu...Mnaonaje Kakolanya awe Tanzania One???
 
Okwi hakuna kitu pale..ameshaisha anachofanya ni kula pesa za Simba tu inafaa ahamishiwe timu ya maveterani
 
Mh
IMG-20180930-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom