Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka mtukwipingu huo.. unamsakazia dada ako.. nyau kweliOuk lakini aliniambia anamtaka kombaME ...sasa kwanini usimpe ndogo tuu sababu unasumbua humu...
Fresh mzazi niajeAaaah adje beira??
Naomba sana wewe kipa wetu beno.. man of the match wa leo. uje umchukue dada yangu "ukamgegede "mpaka uchoke maana leo umetuokoa na kutukosha sana sisi wanayanga.. tafadhali usipuuze wito ...
Simba sasa hivi ushindi wenu ni ball possesion, hata na mbao mlichapwa mkashangilia kumiliki mpira.. hahaha mbu mbu mbu banaHakuna mwanasimba anayeshangilia Leo. Kila mwanasimba anasikitika maana hatukutegemea haya matokeo kwa hali ya ubora tulionao.. wenzetu meno 32 yote nje... mnavua hadi nguo kushangilia sare.. kariakoo derby inapoteza mvuto
Hii kitu ilinishangaza sana au ndio lilikuwa sharti la fundi? [emoji16][emoji16][emoji16]Mpira wa kwanza tu fair play maajabu hajawah kuisha
yanga waliingia na mbinu ya kutofungwa na wamefanikiwaHzo mbinu zimemfanya yanga leo ashinde?? Au ndio mbinu zilizoshindwa kumpa ushindi?
Kuwa na adabu unaongea na bingwa mtetezi, timu iliyotoa kipa bora, mfungaji bora hadi mchezaji boraSimba sasa hivi ushindi wenu ni ball possesion, hata na mbao mlichapwa mkashangilia kumiliki mpira.. hahaha mbu mbu mbu bana
Afu sasa huku mtaani wanavoshangilia hiyo dro kama wameshinda vileHii kitu ilinishangaza sana au ndio lilikuwa sharti la fundi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata simba waliingia na mbinu ya kutofungwa vipi wamefungwa?[emoji1] [emoji1]yanga waliingia na mbinu ya kutofungwa na wamefanikiwa
Wewe mbona unanshikilia sana?? si uende wewe ukatoe kibolibo hicho?? mbona unaniskazia mimi??Peleka mtukwipingu huo.. unamsakazia dada ako.. nyau kweli
hahaha mkuu kwa nyapu hujambo mzeebabaKakolanya Niko hapa Mkuu unasemaje ???
Si unajua humu ID feki kwa kwenda mbele
mpira ni magoli... Yanga wameizidi Simba pointi tano.....!.... Simba hakuna kitu pale timu butu mbele yamejaa magarasa akina Okwi
Aah mke tena??Ulishaona wapi zawadi unamtoa dada yako? Toa mke mkeo ndo thamani ya zawadi itaonekana
Lazima tushangilie wewe ulitaka tufungwe tujinajisi kama ninyi tayari kufungwa na mbao tayari dosari.Afu sasa huku mtaani wanavoshangilia hiyo dro kama wameshinda vile