TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Naona mganga wa yanga kazifuta zile mbili.bahati yao.
Ila hamzidi yule aliyemtuma Meneja wa Timu yenu kuchimbia hirizi golini....


[emoji23][emoji23]
images.jpeg
 
Simba hawana game plan.

Wakimpata kocha kama Zahera wanaweza kutwaa Ubigwa wa CAF.

Ila yule shahidi wa Yehova sijui wamemtoa wapi kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wana bunduki lakini wanashindwa kuzitumia
 
Back
Top Bottom