We jamaa asee.. poahaha lakini Yanga wanamechi moja mkononi ambayo watashinda na kuongoza ligi...bado Yanga ni mabingwa
haha ndio hivyo kwenye top 4 Simba ni ya mwisho inaburuza mkia... Leo TFF wakisema timu ya mwisho ishuke daraja itakuwa SimbaWee jamaa balaa
Hehe ndio hivyo Mkuu Yanga ni mabingwa...na Simba kwenye top 4 ni ya mwisho inaburuza mkiaWe jamaa asee.. poa
Umejiondoa ufahamu wore aiseehaha ndio hivyo kwenye top 4 Simba ni ya mwisho inaburuza mkia... Leo TFF wakisema timu ya mwisho ishuke daraja itakuwa Simba
Pamoja ba mkuluHehe ndio hivyo Mkuu Yanga ni mabingwa...na Simba kwenye top 4 ni ya mwisho inaburuza mkia
Technique ya kupaki treni na kucheza faulo 27 imefanikiwa kweli kweliSimba timu mbovu wanacheza hovyo bila plan ... Yanga wakimataifa wameingia na technique na wamefanikiwa!
Faire play.Hivi kuanza Mpira na kupiga nje ina maana gani et?
Wana mechi mbili mkononi Timu nyingi zimeshacheza mechi sabahaha lakini Yanga wanamechi moja mkononi ambayo watashinda na kuongoza ligi...bado Yanga ni mabingwa