TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Ulishaona wapi zawadi unamtoa dada yako? Toa mke mkeo ndo thamani ya zawadi itaonekana
Naomba sana wewe kipa wetu beno.. man of the match wa leo. uje umchukue dada yangu "ukamgegede "mpaka uchoke maana leo umetuokoa na kutukosha sana sisi wanayanga.. tafadhali usipuuze wito ...
 
Hakuna mwanasimba anayeshangilia Leo. Kila mwanasimba anasikitika maana hatukutegemea haya matokeo kwa hali ya ubora tulionao.. wenzetu meno 32 yote nje... mnavua hadi nguo kushangilia sare.. kariakoo derby inapoteza mvuto
Simba sasa hivi ushindi wenu ni ball possesion, hata na mbao mlichapwa mkashangilia kumiliki mpira.. hahaha mbu mbu mbu bana
 
Simba sasa hivi ushindi wenu ni ball possesion, hata na mbao mlichapwa mkashangilia kumiliki mpira.. hahaha mbu mbu mbu bana
Kuwa na adabu unaongea na bingwa mtetezi, timu iliyotoa kipa bora, mfungaji bora hadi mchezaji bora
 
Ni kweli Beno anahitaji pongezi kwani amefanya kazi kubwa sana! Mzee Kagere alikuwa haamini macho yake leo! Kwa sasa Beno hana mpinzani hapa Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…