Kwani ligi imeisha ndio kwanza mmecheza mechi tano tulia mtakuja kutafutanaNa hamtakuja Simba Muongoze ligi ya TPL,hivi una habari toka ligi ya TPL ianze Yanga hajafungwa hata mechi moja?
Hata kabla ya mechi ya jana mlisema mtatufunga Saba,mmeishia kulialia dalili ya mvua ni MawinguKwani ligi imeisha ndio kwanza mmecheza mechi tano tulia mtakuja kutafutana
Hamna ubavu huo,hatujapata magoli ila tumewapigisha gwaride kitimu kibovu kinataka lig na simbaUlitaka wajae kwenye goli lenu? Nyie mliocheza vizuri mmepata magoli mangapi?
Na mtapigisha kwata Timu nyingi lkn mwisho wa ligi mtaishia kujisifu kuwa hata kama kombe hatujabeba lakini tumepigisha kwata.Hivi unajua kuwa tupo mbele yenu kwenye ligi licha ya kucheza mechi chacheHamna ubavu huo,hatujapata magoli ila tumewapigisha gwaride kitimu kibovu kinataka lig na simba
Hao Simba waliocheza wamefunga magoli mangapi?.... mpira ni magoli Simba na mpira wao wote wameambulia pointi moja sawa na Yanga... .Wamejisumbua tu kuhangaika kupasiana kama wehuYanga wachezaji waliocheza uwanjani kuanzia mwanzo hadi mwisho ni golikipa na mabeki tu wachezaji wengine wa yanga hawakucheza sababu toka mwanzo hadi mwisho mpira ulikuwa ukichezwa nusu uwanja,Centre na forward wa yanga hawakufanya kazi yao.Sijui walienda kufanya nini kwenye mechi.Kuuza sura? .HOPELESS
Simba hawa waliofungwa na Mbao????... Yanga hawajafungwa hata mechi moja na timu za hovyo hovyo kama mbao... Kama Simba wanafungwa na mbao wakicheza na Esperance watafungwa goli ishiriniWanachofurahi Yanga ni kutoa draw na timu yenye level za kina Esperance,Enyimba nk
Yanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivuMtuambie nani kawafundishe muanze mpira kwa kubutua nje.?
HATA FIFA HAKUNA HYO.
MUACHE IMANI ZENU ZA KICHAWI.
MASHUTI YANAKATA KONA.
KAMA RISASI ZA POLISI WA Tanzania
Yanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivu
Simba ni vigagula kila muda kuwaza UloziMara hii tu mganga mmeshamsahau?mpeni pongezi mganga
Waambie hao Mbumbumbu FC hawajitambui....maneno kibao na mtabiri wao wa Sumbawanga.Hata kabla ya mechi ya jana mlisema mtatufunga Saba,mmeishia kulialia dalili ya mvua ni Mawingu
Ajib aulizwe.alifikiria nini mpaka akaanzisha mpira vileYanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivu
Wewe huna timu acha kusingizia waganga.Mara hii tu mganga mmeshamsahau?mpeni pongezi mganga