TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Hamna ubavu huo,hatujapata magoli ila tumewapigisha gwaride kitimu kibovu kinataka lig na simba
Na mtapigisha kwata Timu nyingi lkn mwisho wa ligi mtaishia kujisifu kuwa hata kama kombe hatujabeba lakini tumepigisha kwata.Hivi unajua kuwa tupo mbele yenu kwenye ligi licha ya kucheza mechi chache
 
Yanga wachezaji waliocheza uwanjani kuanzia mwanzo hadi mwisho ni golikipa na mabeki tu wachezaji wengine wa yanga hawakucheza sababu toka mwanzo hadi mwisho mpira ulikuwa ukichezwa nusu uwanja,Centre na forward wa yanga hawakufanya kazi yao.Sijui walienda kufanya nini kwenye mechi.Kuuza sura? .HOPELESS
 
Hao Simba waliocheza wamefunga magoli mangapi?.... mpira ni magoli Simba na mpira wao wote wameambulia pointi moja sawa na Yanga... .Wamejisumbua tu kuhangaika kupasiana kama wehu
 
Wanachofurahi Yanga ni kutoa draw na timu yenye level za kina Esperance,Enyimba nk
Simba hawa waliofungwa na Mbao????... Yanga hawajafungwa hata mechi moja na timu za hovyo hovyo kama mbao... Kama Simba wanafungwa na mbao wakicheza na Esperance watafungwa goli ishirini
 
Mtuambie nani kawafundishe muanze mpira kwa kubutua nje.?
HATA FIFA HAKUNA HYO.
MUACHE IMANI ZENU ZA KICHAWI.
MASHUTI YANAKATA KONA.
KAMA RISASI ZA POLISI WA Tanzania
Yanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivu
 
Mliokuwa mnawataja eti watamaliza mechi akina makambo, ajibu walifanya nini.?
Ajibu aliingia kuanza mpira tu..tena kupiga nje. , pamoja na kumkaba huyo Okwi lakini nafasi alipata ,walipata, ni umakini tu uliwapungua.
 
Yanga wanajua mikia ni waumini wazuri wa ushirikina,wakaamua kucheza na saikolojia ya wachezaji wenu. Kutoa mpira nje tayari mkaingiza woga mkakosa utulivu
Ajib aulizwe.alifikiria nini mpaka akaanzisha mpira vile
 
Wape neno hao jamaa
IMG-20181001-WA0001.jpg
IMG-20181001-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom