Hawana uwezo huo wa kushinda.Tuna golikipa namba one Tanzania na wachezaji wa kimataifa wanaojua kazi yao,wangeanzaje kutufunga
Tena hata humu jf angekuwepo mmoja. Teh teh.Simba wangefungwa goli moja tu tungezika watu jana
Hahahaaa. Wakikujib nitag.
Wanakaa kusingizia eti tumepaki Basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini sasa wakati mnasemaga kikosi chenu kipana?Kupaki basi sio sababu ya kutofungwa, Yanga walifanya makosa mengi kwenye defence ila Simba hawakuwa clinical enough.
Zikijaga nyuzi za habari ya Uchawi humu kila mtu anasemaga haamini hiyo kitu ila leo asilimia 90 ya mikia wanaamini Uchawi. Teh teh teh.
Ndio mpira ulivyo jamaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na unamatokeo matatu na pia punguzeni pere pere hasa mnapokutana na Yanga mpira wa watani wa jadi haujawahi tabirika jamaani. Khaaaaaa.
Kikosi bora bongo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnisamehe Watani zangu tunaoheshimiana. Teh teh.
Na bundi ndo kashatua Simba tusubiri timbwili la uchaguzi,mwaka huu wasipomaliza wa Saba kwenye ligi sijui itakuaje,naiona nafasi ya Saba ileeeee inawanyemelea SimbaNdio hapo sasa wanabaki ooh uchawi ooh tumetoa hongo sasa na umasikini huu tulionao hongo tunaitoa wapi sieee.
Wajitazame upya kwa kweli la sivyo watatafutana msimu huu.
Hahahaaaa. Na baada ya kutoa ule mpira nje ndio akawapagawisha hatari.Jana ndio nilijua kwanini Ajib alikuwa anawekwa bench akiwa Simba.
Hahahaaaa. Nakazia. Teh teh.Na bundi ndo kashatua Simba tusubiri timbwili la uchaguzi,mwaka huu wasipomaliza wa Saba kwenye ligi sijui itakuaje,naiona nafasi ya Saba ileeeee inawanyemelea Simba
Naomba nikusalimie kwanza Mtani. ππππItaendelea vipi haliyakuwa mpira haijui halafu yanashangilia kutoa suluhu na timu bora kabisa ya SIMBA
Hahahaaaaa. Swali zuri sana hili.Nyie
Nyie mliondelea mmefika wapi? Ndoo ngapi za TPL? Makombe mangapi ya CAF?
Mtani mpaka sasa bado sijaamini kilichotokea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Mtani.
Poleni sana kwa kuwa hata watu ambao hatukuwafikiria kuwa na hizo imani leo mmeamini hivyooo.
Haya na nyie kaufanyeni basi. Teh teh.
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]eti uchaaaawiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi Mtani Ghazwat.
Hahahaaa. LolJina lako linabeba uhalisia wako,2018 unaamini ushirikina!
Pole Mtani wangu.Mtani mpaka sasa bado sijaamini kilichotokea.
Aisee naona mtani unafuraha sana huamini kama timu yako imenusurika na kichapo sipati picha jana ulivyokuwa ukiomba mpira uisheNaomba nikusalimie kwanza Mtani. ππππ
Sipati picha ulivyonuna jana.
Watani zangu kuku mweus na aretasludovick wako wapi jamaani maana sijui wana hali gani huko waliko maana walitamba sana juzi.
Mzima Mtani?We Ulotulia Tunaomba Utuvuee Ubingwa
Tunasema hivi.. Uchawi Upo.vipi mliokuwa mbasema ndala atapigwa,mnalakusema sasa?
Hahahaaa. Wakikujib nitag Mr Tecno.Kama mganga anasaidia kwa nini ile bilioni mbili yenu mliyotumia kwenye usajiri mngetumia kusajiri mganga awasaidie.?