TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Kupaki basi sio sababu ya kutofungwa, Yanga walifanya makosa mengi kwenye defence ila Simba hawakuwa clinical enough.
Hahahaaa. Wakikujib nitag.

Wanakaa kusingizia eti tumepaki Basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana ndio nilijua kwanini Ajib alikuwa anawekwa bench akiwa Simba.
Zikijaga nyuzi za habari ya Uchawi humu kila mtu anasemaga haamini hiyo kitu ila leo asilimia 90 ya mikia wanaamini Uchawi. Teh teh teh.

Ndio mpira ulivyo jamaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na unamatokeo matatu na pia punguzeni pere pere hasa mnapokutana na Yanga mpira wa watani wa jadi haujawahi tabirika jamaani. Khaaaaaa.

Kikosi bora bongo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnisamehe Watani zangu tunaoheshimiana. Teh teh.
 
Ndio hapo sasa wanabaki ooh uchawi ooh tumetoa hongo sasa na umasikini huu tulionao hongo tunaitoa wapi sieee.

Wajitazame upya kwa kweli la sivyo watatafutana msimu huu.
Na bundi ndo kashatua Simba tusubiri timbwili la uchaguzi,mwaka huu wasipomaliza wa Saba kwenye ligi sijui itakuaje,naiona nafasi ya Saba ileeeee inawanyemelea Simba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana Mtani.

Poleni sana kwa kuwa hata watu ambao hatukuwafikiria kuwa na hizo imani leo mmeamini hivyooo.

Haya na nyie kaufanyeni basi. Teh teh.

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]eti uchaaaawiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapi Mtani Ghazwat.
Mtani mpaka sasa bado sijaamini kilichotokea.
 
Naomba nikusalimie kwanza Mtani. 😂😂😂😂

Sipati picha ulivyonuna jana.

Watani zangu kuku mweus na aretasludovick wako wapi jamaani maana sijui wana hali gani huko waliko maana walitamba sana juzi.
Aisee naona mtani unafuraha sana huamini kama timu yako imenusurika na kichapo sipati picha jana ulivyokuwa ukiomba mpira uishe
 
Back
Top Bottom