Mie pia sijambo kaka.Mi mzima. Sijui wewe
Kheri. Nafurahi kusikia hivyo.Mie pia sijambo kaka.
Hutaki nini mtani πππππππ sitaki mieee Mtani.
ππππ najua haya ndio yaliyobakia Mtani wangu.Mtani Hajar hivi wajua kazi aliyoifanya CLATOUS CHAMA nikazi iliyofanywa na mwalimu JULIUS KAMBARAGE NYERERE alipovikusanya vijiji vya ujamaa na kuviweka kuwa kijiji kimoja?
Sasa sisi na nyie nani anasikitisha Mtani? ππππHutaki nini mtani π
ππππYamewasaidia kina nani?
Kwa haraka haraka ni nyieSasa sisi na nyie nani anasikitisha Mtani? ππππ
Hahahaaa. Kiaje Mtani?Kwa haraka haraka ni nyie
Ina maana Musonye wa 2015 ni mwengine na huyu wa 2018 ni mwengine? Jitafakari.Tunazungumzia Kagame ya mwaka 2008 Jul. Ambapo Yanga waligomea mchezo na wakafungiwa miaka 3 na faini ya dola 35,000.
Sasa wapi nimetaja Kagame ya 2018?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Dada.
Eti Jikazeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ tuwazowee tu kwa kweli Dada.Dada akee jichekee tu watu wanafurahisha sana yaan jf ndio kuna mambo ya kupangiana ujue simu yako bundle lako bado unapangiwa
Kwani uongo sasa Hajar ?Hahahaaa. Wakikujib nitag.
Wanakaa kusingizia eti tumepaki Basi. ππππ
Mngefungua zaidi muone, ila mganga wenu huyo! Lakini bora huyo hajawaambia mtafute viungo vya binadamu naona yeye aliwapa sharti la kupiga nje mpira wa kwanza mtakaoupataππππππ ndio uongo. πππ
Basi gani hilo wakati golini mlifika.
Hivi Yanga imeshinda kwani au mimi ndio sijaelewa hapa!!?Hahahaaa. Lol
Hii ndio shida ya Simba. Inatakiwa watambie vile vitimu vilivyopanda daraja msimu huu na si kwa Yanga ambayo kila wakikutana nayo lazma iwapovushe. πππ