Hivi hata na weye Sesten waamini uganga eee? π³π³Mngefungua zaidi muone, ila mganga wenu huyo! Lakini bora huyo hajawaambia mtafute viungo vya binadamu naona yeye aliwapa sharti la kupiga nje mpira wa kwanza mtakaoupataπππ
Hahahaaa. Tambo zenu ndio sababu ya yote sesten.Hivi Yanga imeshinda kwani au mimi ndio sijaelewa hapa!!?
Yaani Hajar hapo ni sare tu Yanga ni shangwe kila mahali! Kumbe mlikua mnaukubali mziki wa Msimbazi kimyakimya eeh?
Hata kama siamini Hajar lakini yaliyotokea pale ni mauza uza, wee uliona wapi watu wanakosa magoli kama yale?Hivi hata na weye Sesten waamini uganga eee? π³π³
Sawa tulichimba mkwara kisawasawa haswaa kabda ya mechi, sasa ndio timu kama Yanga ifurahie sare na Simba! Huoni kama hamuiamini timu yenu?Hahahaaa. Tambo zenu ndio sababu ya yote sesten.
Ingekuwa hamkutuita sie omba omba wala msingeona tulishangilia hivi.
Hahahaha walipata tabu itakuwa walikuwa wanajiuliza tunacheza na SIMBA au BARCA maana ni kila sekunde kila dakika watu waja tu mkuu yani wamenusurika vibaya mnoo
Refa alichomoa goli la Okwi.U
Umeiona clip ya mtu wa Simba akimwaga vitu uwanjani?
Ya nini kutumia ma billion kusajili kama uchawi unalipa?
Baada ya Boko sasa ilikuwa zamu ya Kotei kutembeza ngumi.
From Mbumbumbu FC to Mwakinyo FC
Ukiona hata Haji kanyamaza, ujue hakuna kitu hapo. Ameona aibu picha za video zipo wazi kabisa. Offside ni ya Kagere.Refa alichomoa goli la Okwi.
Hahahaaaa. Si ndio hao wamekosa sasa Sesten. πππHata kama siamini Hajar lakini yaliyotokea pale ni mauza uza, wee uliona wapi watu wanakosa magoli kama yale?
Au mlitembeza uchawi wa kidhungu basi, twambieni mlimpa nani ili tuanze kuchapana bakora na kutumbuana
Hahaaa. Si kwamba hatuiamini Yanga ila nyue kikosi chenu si cha mabilioni kitafananje na kikosi cha milioni.Sawa tulichimba mkwara kisawasawa haswaa kabda ya mechi, sasa ndio timu kama Yanga ifurahie sare na Simba! Huoni kama hamuiamini timu yenu?
Kwa kauli yako hii sina namna ila niruhusu nije nyuma yako nikazie Hajar πππNyie kiubora mko juu. Penye ukweli tuseme tu.
Fainali ya ueropa ligi kati ya atletico madrid vs olimpic marseille , mpira ulianzishwa kwa kupiga nje pia na haikuwa gumzo. Kwa Tanzania kwa vile tunaamini katika ushirikina basi imekuwa gumzo na kuonekana jambo la ajabu sana.View attachment 42938527_2264046616998935_6781187498442752000_n.mp4Hivi kuanza Mpira na kupiga nje ina maana gani et?
Kula like yangu Mkuu.Fainali ya ueropa ligi kati ya atletico madrid vs olimpic marseille , mpira ulianzishwa kwa kupiga nje pia na haikuwa gumzo. Kwa Tanzania kwa vile tunaamini katika ushirikina basi imekuwa gumzo na kuonekana jambo la ajabu sana.View attachment 883447
Hahahaaaa, umefuraaahi HajarKula like yangu Mkuu.
Pia hii video ningependa watani zangu wote waione aiseeee.
Mlango upo wazi wala usipige hodi eehπHahahaaaa. Nilishasahau ujue Sesten haya ngoja nije unipe zawadi zangu. πππ
ππππππ
Usiende atakupa Zawadi ya pumbujeeeeee huyu mama samsung usimuamini siyo mtu salama kwa AfaHahahaaaa. Nilishasahau ujue Sesten haya ngoja nije unipe zawadi zangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
π³π³π³ππππUsiende atakupa Zawadi ya pumbujeeeeee huyu mama samsung usimuamini siyo mtu salama kwa Afa
Uovu upi Mtani?Naona Watani mnatumia nguvu nyingi kuhalalisha maovu yenu.