TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Mngefungua zaidi muone, ila mganga wenu huyo! Lakini bora huyo hajawaambia mtafute viungo vya binadamu naona yeye aliwapa sharti la kupiga nje mpira wa kwanza mtakaoupataπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hivi hata na weye Sesten waamini uganga eee? 😳😳
 
Hivi Yanga imeshinda kwani au mimi ndio sijaelewa hapa!!?

Yaani Hajar hapo ni sare tu Yanga ni shangwe kila mahali! Kumbe mlikua mnaukubali mziki wa Msimbazi kimyakimya eeh?
Hahahaaa. Tambo zenu ndio sababu ya yote sesten.

Ingekuwa hamkutuita sie omba omba wala msingeona tulishangilia hivi.
 
Hivi hata na weye Sesten waamini uganga eee? 😳😳
Hata kama siamini Hajar lakini yaliyotokea pale ni mauza uza, wee uliona wapi watu wanakosa magoli kama yale?

Au mlitembeza uchawi wa kidhungu basi, twambieni mlimpa nani ili tuanze kuchapana bakora na kutumbuana
 
Hahahaaa. Tambo zenu ndio sababu ya yote sesten.

Ingekuwa hamkutuita sie omba omba wala msingeona tulishangilia hivi.
Sawa tulichimba mkwara kisawasawa haswaa kabda ya mechi, sasa ndio timu kama Yanga ifurahie sare na Simba! Huoni kama hamuiamini timu yenu?
 
Jana Simba wamecheza mpira utafikiri klabu ya La liga. Hatimae tumeanza kuona timu.za bongo zinacheza mpira mkubwa, hiyo ni hatua nzuri. Tufanyie kazi eneo la ufungaji.
Hahahaha walipata tabu itakuwa walikuwa wanajiuliza tunacheza na SIMBA au BARCA maana ni kila sekunde kila dakika watu waja tu mkuu yani wamenusurika vibaya mnoo
 
U
Umeiona clip ya mtu wa Simba akimwaga vitu uwanjani?
Ya nini kutumia ma billion kusajili kama uchawi unalipa?
Baada ya Boko sasa ilikuwa zamu ya Kotei kutembeza ngumi.
From Mbumbumbu FC to Mwakinyo FC
Refa alichomoa goli la Okwi.
 
Hata kama siamini Hajar lakini yaliyotokea pale ni mauza uza, wee uliona wapi watu wanakosa magoli kama yale?

Au mlitembeza uchawi wa kidhungu basi, twambieni mlimpa nani ili tuanze kuchapana bakora na kutumbuana
Hahahaaaa. Si ndio hao wamekosa sasa Sesten. 😜😜😜
 
Sawa tulichimba mkwara kisawasawa haswaa kabda ya mechi, sasa ndio timu kama Yanga ifurahie sare na Simba! Huoni kama hamuiamini timu yenu?
Hahaaa. Si kwamba hatuiamini Yanga ila nyue kikosi chenu si cha mabilioni kitafananje na kikosi cha milioni.

Nyie kiubora mko juu. Penye ukweli tuseme tu.
 
Fainali ya ueropa ligi kati ya atletico madrid vs olimpic marseille , mpira ulianzishwa kwa kupiga nje pia na haikuwa gumzo. Kwa Tanzania kwa vile tunaamini katika ushirikina basi imekuwa gumzo na kuonekana jambo la ajabu sana.View attachment 883447
Kula like yangu Mkuu.

Pia hii video ningependa watani zangu wote waione aiseeee.
 
Hahahaaaa, umefuraaahi Hajar

Jana tulipinga ujue sijui tunafanyaje sasa! Uje kule japo tupongezane kwa sare yetuπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜›
Hahahaaaa. Nilishasahau ujue Sesten haya ngoja nije unipe zawadi zangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Hahahaaaa. Nilishasahau ujue Sesten haya ngoja nije unipe zawadi zangu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Mlango upo wazi wala usipige hodi eehπŸ˜‰

Tena upo ndani ya gauni jekundu kama hivi basi burudani kwelikweliπŸ˜€
 
Hahahaaaa. Nilishasahau ujue Sesten haya ngoja nije unipe zawadi zangu. [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Usiende atakupa Zawadi ya pumbujeeeeee huyu mama samsung usimuamini siyo mtu salama kwa Afa
 
Back
Top Bottom