Hahaaa. Naja naja Sesten. πππMlango upo wazi wala usipige hodi eehπ
Tena upo ndani ya gauni jekundu kama hivi basi burudani kwelikweliπ
Mkuu m nimeuliza ina maana gani sijazungumzia hzo habari za ushirikinaFainali ya ueropa ligi kati ya atletico madrid vs olimpic marseille , mpira ulianzishwa kwa kupiga nje pia na haikuwa gumzo. Kwa Tanzania kwa vile tunaamini katika ushirikina basi imekuwa gumzo na kuonekana jambo la ajabu sana.View attachment 883447
Hv upo.Hahaaa. Naja naja Sesten. [emoji23][emoji23][emoji23]
πNipo Neiba. Niaje?
Zimefika.
Tatizo mikia walidanganywaFainali ya ueropa ligi kati ya atletico madrid vs olimpic marseille , mpira ulianzishwa kwa kupiga nje pia na haikuwa gumzo. Kwa Tanzania kwa vile tunaamini katika ushirikina basi imekuwa gumzo na kuonekana jambo la ajabu sana.View attachment 883447