Ewaaaaaaaaa. Wataelewa tu.
Mkuu tumalize mechi kwanza.. Hahaha.Uuwiiii. Pole sana jamaani. Nimekaa nakuwazia kichwa kinavyokugonga.
Nimeona kuna sehemu umeulizwa umesomea wapi hii kazi mtani. Sijaona jibu. [emoji23][emoji23][emoji23]
CC. Mr Q
Simba mjiandae kuzimiaSina wasi wasi na Simba naamini itaibuka na ushindi wa kishindo.
Chelsea Liverpool Droo,Real Madrid na Atletico Droo pia Simba na Yanga Leo drooNafasi ya hizi timu katika Msimamo wa TPL
3. Yanga SC - Point 12
5. Simba SC - Point 10
Namuona mnyama mkali mwituni akienda kupindua meza kibabe siku ya leo.
Mechi ya Leo Nampa yanga Win oro DrooLeo natabiri
Simba 4
Yanga 2
Tuonane saa1 usiku
Tatizo mmezoea mipasho albino na Bi Hindu wamewaharibuUpdate ya kuhusu kikosi cha kwanza cha Ndala
Naona Zahera kashinda.. Kindoki anaanza golini leo.
Sasa natamka rasmi.. Ndala anakula si chini ya goli 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba anakufa.kifo kibaya na ndo mwanzo wa migogoro Simba leoNaona mmekutana mambumbumbu mnajazana ujinga tu. Time is the best answer, subirini hiyo sa 11. Kambi Morogoro kazi uwanjani hatuna mbwembwe za uturuki wala kufuga mabeberu sisi.
Tambwe akiwakosa leo Ajib hawaachi. Usimsahau Makambo
Mnyama ninachojua kapoteza point tano mpaka sasaKumbuka mpaka sasa Mnyama mkali kafungwa vigoli 2 tu, pamoja na kucheza mechi kibaoooo.. Moja kati ya hayo magoli tulifungwa na Mbao kwa nguvu ya sayansi ya kiafrika.
Kwa ile beki yenu iliyooza lazima MK14 awageuze geuze anavyotaka.. Hapo bado kuna CR7 toka Uganda.. Kuna Kichuya.. Kuna Mo.. Kuna Super Sub Salamba.. n.k
Kwa kifupi leo pona yenu msiingize timu uwanjani.. Kama mnabisha, ingizeni timu uwanjani muone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chonde chonde Ndala.. Msirudie tena haya mambo.View attachment 882360
Nawakumbusha tu
Uwepo wa Kindoki unatuhakikishia ushindi leoKikosi cha Yanga kinachotarajiwa Kuanza
1. Klaus Kidoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa