TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Update ya kuhusu kikosi cha kwanza cha Ndala

Naona Zahera kashinda.. Kindoki anaanza golini leo.

Sasa natamka rasmi.. Ndala anakula si chini ya goli 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B60F141C-C935-4929-9BBE-A3C789EBA380.jpeg



Msemaji wa Yanga 😛😛
 
Nafasi ya hizi timu katika Msimamo wa TPL
3. Yanga SC - Point 12
5. Simba SC - Point 10

Namuona mnyama mkali mwituni akienda kupindua meza kibabe siku ya leo.
Chelsea Liverpool Droo,Real Madrid na Atletico Droo pia Simba na Yanga Leo droo
 
Kumbuka mpaka sasa Mnyama mkali kafungwa vigoli 2 tu, pamoja na kucheza mechi kibaoooo.. Moja kati ya hayo magoli tulifungwa na Mbao kwa nguvu ya sayansi ya kiafrika.
Kwa ile beki yenu iliyooza lazima MK14 awageuze geuze anavyotaka.. Hapo bado kuna CR7 toka Uganda.. Kuna Kichuya.. Kuna Mo.. Kuna Super Sub Salamba.. n.k
Kwa kifupi leo pona yenu msiingize timu uwanjani.. Kama mnabisha, ingizeni timu uwanjani muone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyama ninachojua kapoteza point tano mpaka sasa
 
Kikosi cha Yanga kinachotarajiwa Kuanza

1. Klaus Kidoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa
 
Kikosi cha Yanga kinachotarajiwa Kuanza

1. Klaus Kidoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vicent Andrew 'Dante'
5. Kelvin Yondani (C)
6. Feisal Salum 'Fei toto'
7. Deus Kaseke
8. Papy Tshishimbi
9. Herietier Makambo
10. Ibrahim Ajibu
11. Mrisho Ngasa
Uwepo wa Kindoki unatuhakikishia ushindi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom