TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Naona mmekutana mambumbumbu mnajazana ujinga tu. Time is the best answer, subirini hiyo sa 11. Kambi Morogoro kazi uwanjani hatuna mbwembwe za uturuki wala kufuga mabeberu sisi.

Tambwe akiwakosa leo Ajib hawaachi. Usimsahau Makambo
Wape wape wape vidonge hivyo Kaka wakimeza wakitema shauri yao.

Huo ndio ukweli uliousema.

💃💃💃💃
 
Nyie kweli soka limekuja bahati mbaya upande wenu. Kutwa kuwaza ushirikina, na rafu tuu.

Hamna pa kutokea pale Taifa, huyo Mk14 atakuchoma jicho moja..Makwasukwasu Nyie
Kagere amekataa kuvaa hirizi hivyo hachezi. Boko yupo nje kwa kadi. Ninja atamtoa Okwi mapema akatibiwe. Kwisney mikia.
 
Hatimae 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiliwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium.
Mechi hii inatarajia kuanza mnamo saa 11 kamili.

Update 1.
Jeshi La Maangamizo la Simba SC
Kikosi Cha Kwanza
1. Aishi Manila
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Erasto Nyoni
5. Pascal Wawa
6. James Kotei
7. Jonas Mkude
8. Clatous Chama
9. Meddie Kagere
10. Emmanuel Okwi
11. Shiza Kichuya
Kikosi Cha Akiba
1. Deogratius Munishi
2. Paul Bukaba
3. Asante Kwasi
4. Said Ndemla
5. Mo Ibrahim
6. Adam Salamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba ni mtetezi wa VPL sio TPL note
 
Haya ni baadhi ya magazeti 01/10/2018 baada ya mechi ya Leo.

Championi
KAGERE HASHIKIKI
- Awapangua mabeki wa yanga Kama anachambua mchele..
-Zahera amsifia, atapa kulipa kisasi February..
Mashabiki WA yanga wazimia, walazwa muhimbili na temeke.

Mwanaspoti
SIMBA GARI IMEWAKA
- Yaichakaza yanga 3:1
- Yanga watafuta mpira kwa tochi
- Kagere awa gumzo

Nipashe
TENI AGOMEA WAANDISHI WA HABARI
- Ni kufuatia kipigo cha Jana.
- Mzee Akili Mali aujia juu uongozi wa yanga.

Majira
KAGEREEEEEEEEEEE
- Avunja rekodi ya kibaden
- Apiga hat trick, yanga walia na mwamuzi.

Uhuru
SIMBA RAHA SANA
- Yacheza mpira wa majuu
- KAGERE awindwa na timu za ulaya
- Magoli yake si ya nchi hii.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kweli kazi leo umeipata. 😂😂😂😂

Hivi Ghazwat yupo kweli au ndio ameshajichimbia? 😜😜😜
 
Back
Top Bottom