Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Naombea iwe hivyo maana hukawii kuniangusha mtani. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombea iwe hivyo maana hukawii kuniangusha mtani. πππ
Hahaha.. Mtani hii ndo kazi inayoniweka mjini.Mtani kweli kazi leo umeipata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Ghazwat yupo kweli au ndio ameshajichimbia? [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha.. Mkuu nipo kwenye territory yangu.. Ulinzi ni 100%Mkuu tafuta mtu akushikie simu yako, usije ukaipoteza tena kama siku ile kule Mwanza!!!
Mkuu si mipasho.. Ndo hali halisi ilivyo.Ila kwa mpira wa mipasho mikia fc mko vizuri, naona mmekula tuition ya nguvu toka kwa Haji Manara
leo kipigo kwa yangaNaombea iwe hivyo maana hukawii kuniangusha mtani. πππ
Tena kama huyu sembo ndo huwa anakimbia mapema sana. Atakuja hapa zikishapita siku Tatu na kudai aliibiwa smHahahaaa. Wanachelewa hao basi.
Mpira ukianza tu wanapotea. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Eti eeee.leo kipigo kwa yanga
Hahahaaa. Au goli likiingia ndio utamuona hapa.Tena kama huyu sembo ndo huwa anakimbia mapema sana. Atakuja hapa zikishapita siku Tatu na kudai aliibiwa sm
EwaaaaaYanga atashinda
Bila shaka utakua umeshafika uwanjani[emoji4]Ewaaaaa
Atashinda njaa labdaYanga atashinda
Hahahaaa. Nshafika kitambo yaani. πππBila shaka utakua umeshafika uwanjani[emoji4]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] nakuona, umevaa hijabu upande wa kushotoHahahaaa. Nshafika kitambo yaani. [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]