Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Walienda kutalii tu haoDaah mnatuaibisha bana si nyie mlienda uturuki nyie hadi dakika hii hamjaona lango. Kweli yanga ukuta imara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walienda kutalii tu haoDaah mnatuaibisha bana si nyie mlienda uturuki nyie hadi dakika hii hamjaona lango. Kweli yanga ukuta imara
Nyie ndio Mna bahatiMna bahati sana siku ya leo.
S0-Y0Simba wase***
Mtawafunga SAA ngap
Mkuu usiumie,kwani ulikuwa unaamini Kwa ule uwezo wenu mngemfunga yanga?Mkuu imeniuma sana,nini hii
Mnaamini ushirikina?Asanteni Gongowazi kwa kuturoga. Endeleeni kupenda ushirikina
Hakuna uimara wowote.. Basi tu
WoyooooooooWoyooo woyooo hii ndio Yanga kudadeki Moro mpira Uturuki singeli
Teh teh tehHizi chakula za mbao fc zimetoka bila bila!
Kwa kikosi kile umgeshindajeMkuu hata mimi sielewi kabisa tumewakosaje hawa?? Hapa nipo naomboleza matokeo ya leo.
Mkuu, yamekuwa hayo tena?Asanteni Gongowazi kwa kuturoga. Endeleeni kupenda ushirikina