Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Eiish tunapangiana tena simu yangu bundle langu jf pekee ndio kuna mambo ya kupangianaAcha mihemko unakuwa Kama haji
Mkuu jikaze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eiish tunapangiana tena simu yangu bundle langu jf pekee ndio kuna mambo ya kupangianaAcha mihemko unakuwa Kama haji
Hahahahahahahahahahahah
Ngoja Nile biaaaaaaaa,bilion za kanjibahai zimeenda bureeeeeMbumbumbu Karibuni sana siku nyingine tuwaonyeshe kazi kazi
Yanga 5 games undisputed
We are the champs
Simba inaonekana mashabiki wake wengi waliishia Darasa la pili.hii ni namna gani ya kufikiri aiseeee? Yaani kupiga mpira nje inakupa shida?Mpira unaanza.. Unapiga nje.. Kama si uchawi ni nini?
Bado upo hewani?Naona Mindala inashangilia droo.
Nakazia ile albadir waliyofanya sio mchezoKweli uchawi upo.
Mshirikina anamjua mshirikina mwenzieAsanteni Gongowazi kwa kuturoga. Endeleeni kupenda ushirikina
Mmetoa timu uwanjani kama kawaida yenu,mkalileta na Ndugai eti mnajua mtashinda haaaahaaaaMpira unaanza.. Unapiga nje.. Kama si uchawi ni nini?
Droo ya ugenini sio mbayaNaona Mindala inashangilia droo.
Sawa maana yangu nanyi ni wachawi ndio maana mnamjua mchawi [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mpira unaanza.. Unapiga nje.. Kama si uchawi ni nini?
Ponjoro anauza hisa zake kaona anapigwa pesa tu. Time imejaa watakatishaji na wapigaji watupuNgoja Nile biaaaaaaaa,bilion za kanjibahai zimeenda bureeeee
Ila haya mambo yana mwisho.
Hapo hakuna Simba kuna maiti iliyopiga chafya mortuarySimba inashindwa kumfunga mchezaji mmoja?
Ongezea yanga ana mchezo mmoja mkononiMbao anaongoza kwa point 14 yanga wa pl 13 View attachment 882529
Yanga anapaa mpaka nafasi ya Pili Simba anabaki pale pale alipo nafasi ya Tano.jamani mzimamo wa ligi upoje mpaka sasa huko?
HahaaaaHapo hakuna Simba kuna maiti iliyopiga chafya mortuary
Wapi gentamycine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa niaba ya mganga wa simba aliyetabiri ushindi
Tena umgonge kama magoli ya Makambovich kabisa.Aiseee umeongea la maana sana,lazima nimbandue
Nakazia ile albadir waliyofanya sio mchezo