Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mpira mipango sio maneno by the way niwashukuru Yanga Kwa kutowafunga Simba maana Leo uwanja ungeharibiwa na tungepoteza baadhi ya watanzania wenzetuHatukujua kama mmeroga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira mipango sio maneno by the way niwashukuru Yanga Kwa kutowafunga Simba maana Leo uwanja ungeharibiwa na tungepoteza baadhi ya watanzania wenzetuHatukujua kama mmeroga
Achane fikira za kichawi, mpira ni mbinu, mpira ni akiriNaona Mkuu umeonekana baada ya mpira kuisha.. Nimefurahi kukuona jukwaani.. Ila mshukuruni Mganga wenu.
Wachezaji wa Simba imeshagundulika wana I Q ndogo sana.Wengi ni makasha ,kwa sasa hakuna mwenye uwezo wa kusonga mbele zaidi wamefika tamati.Mlijenga mashambulizi vizuri na umiliki wa mpira mlikuwa bora sana ila mmeshindwa kubadili matokeo.
Sawa MgangaHView attachment 882536KAMAA ULISOMAA HII POST USINGEENDA TAIFAAA.. SIO MNAJIMU MIEView attachment 882536
Hata mlivyopigwa na mbao tulishangilia piaNaona Mindala inashangilia droo.
Nina mashaka na hawa mashabiki wa Simba uelewa wao naona wamekaa kishirikina kishirikina tuAcheni fikira za kichawi nyinyi
Mkuu ile ni zaidi ya AlbadrTutafungaje ilhali kuna Albadr ilisomwa pale Jangwani..!
Mbumbumbu fc ndo akili zao,wachezaji wana I Q ndogo mno wale .Hivi huyu Mohamed Hussein aka shabalala syo Yule mwzi wa Mlandizi ambaye walimtumia kudanganya kwamba mzigo umemganda kichwani?Acheni fikira za kichawi nyinyi
Umeanza matusi yako wee mbuziUnaonaje akipewa ya mama yako
uwezo wa kutufunga hamnaMpira mipango sio maneno by the way niwashukuru Yanga Kwa kutowafunga Simba maana Leo uwanja ungeharibiwa na tungepoteza baadhi ya watanzania wenzetu
Siku nyingine mje mkiwa mmejipanga sio mnaleta taarab kama watoto wakike wa pwaniMindala bhana
Haji Manara amewatoa akili wote Kila akisema kitu wanamjibu hewalaIla kwa mpira wa mipasho mikia fc mko vizuri, naona mmekula tuition ya nguvu toka kwa Haji Manara
Mkuu ile ni zaidi ya Albadr
Ndugai na Ummy Mwalimu wote ni Simba. Wangemleta na Makonda kabisa.Mmetoa timu uwanjani kama kawaida yenu,mkalileta na Ndugai eti mnajua mtashinda haaaahaaaa