Umenichekesha mkuu kumbe nyie huwa mko wazi...so ngoma drooBora sisi huwa tunakuwa wazi.View attachment 2433710
Umeona eee hakuna vita hapa tupambane tupate walozi wazuri baaaasii 😀 😀 😀 😀 maana huyo mlozi wa Gadiel katulisha drooHawa wanalogea jezi
Hawa wanalogea siku ya tukio..
Tuchekana sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezo ni kuwahiana tu.
Kocha wa Yanga Nabi Nasreddine amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba kwenye mchezo ambao Yanga walipigwa 2-1 dhidi ya Ihefu FC.
Kamati ya usimamizi wa Ligi Kuu TPLB imeitoza Klabu ya Simba Shilingi 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la baadhi ya wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kupitia milango isiyokuwa rasmi kwenye mchezo ambao Simba SC walitoka sare ya moja kwa moja dhidi ya Mbeya City.
Mchezaji Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4: 25 asubuhi kwa kile alichoeleza alitaka kukagua Uwanja kuelekea mchezo wa Mbeya City dhidi Simba SC.
View attachment 2433526View attachment 2433527View attachment 2433528
..Simba hawako makini tu kwenye kuroga ila yanga Africa mashariki hakuna anayemfikia kwa ulozi wameshindikana.
We unadhan lile tumbo la karia linatoka wapi, pesa ndio hiz, hapo kuna zaid ya milion 5 na bado kila siku makosa ni yale yale, kupita mlango wa nyuma, ushirikina n.kHivi huwa wanazipeleka wapi hizi hela? Yaani matumizi yake yakoje, baada ya kulipwa?
Hivi Simba huu upumbavu mnaodanganyana mara kuingia lango lisilo rasmi, mara kuwanga usiku, mara kuwasha moto uwanjani....halafu unaambulia Sare sare maua!..... huwa hamjifunzi? .... mnajidanganya sana aisee! nasimitika sana huu upmbavu haifai!Kocha wa Yanga Nabi Nasreddine amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba kwenye mchezo ambao Yanga walipigwa 2-1 dhidi ya Ihefu FC.
Kamati ya usimamizi wa Ligi Kuu TPLB imeitoza Klabu ya Simba Shilingi 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la baadhi ya wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kupitia milango isiyokuwa rasmi kwenye mchezo ambao Simba SC walitoka sare ya moja kwa moja dhidi ya Mbeya City.
Mchezaji Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya shilingi 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4: 25 asubuhi kwa kile alichoeleza alitaka kukagua Uwanja kuelekea mchezo wa Mbeya City dhidi Simba SC.
View attachment 2433526View attachment 2433527View attachment 2433528
Huyo Gadiel ingebidi wamkamate na kumfungia pale golini mpaka jioni!View attachment 2433628
Wazee wa nyunga. Ila mshazoea hamnaga aibu South Africa mliota na moto kabisa katikati ya uwanja mkaunguza pitch ya watu.
Nadhani kukomesha haya ni adhabu kuwa maradufu ya hii, si kutegemea kupigwa faini tu ambapo Klabu au mchezaji ana uwezo wa kulipa.Aibu sana kwa Yanga na Simba kuendekeza haya mambo ya kishirikina, kwangu mimi sina simile kabisa na ushirikina wote wanaoendekeza mambo haya ni wapumbavu kabisa
Adhabu ikiwa kukatwa point hakuna mtu atafanya huu upuuzi kwani wanafanya hivyo kwa imani potofu kuwa watapata ushindi na kujiongezea point sasa adhabu ikiwa kukatwa point watakoma kabisa haya maujinga yao.Nadhani kukomesha haya ni adhabu kuwa maradufu ya hii, si kutegemea kupigwa faini tu ambapo Klabu au mchezaji ana uwezo wa kulipa.
Adhabu iongezwe kuhusu mambo haya.
Hivi vilabu vyetu kufikia level ya Al ahily au Raja Casablanca Bado sana wanawekeza ujingaAdhabu ikiwa kukatwa point hakuna mtu atafanya huu upuuzi kwani wanafanya hivyo kwa imani potofu kuwa watapata ushindi na kujiongezea point sasa adhabu ikiwa kukatwa point watakoma kabisa haya maujinga yao.
Azam kafanya nini?Hizi faini kwa mkupuo namna hii haijawahi kutokea, haya sasa ndo mavuno kwa TFF.
1. Kocha Nabi laki tano.
2. Gadiel Michael laki tano.
3. Simba SC, milioni moja.
4. Azam FC milioni moja.
5. Coastal Union milioni moja.
6. Ruvu Shooting laki tano.
7. Mbeya City laki tano.
8. Mchezaji wa Coastal laki tano.