Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Simba hawajawahi kuacha uchawi..!! Wanaroga hadi nje ya nchi..!! Tena huko nje ya nchi, wakawahurumia kwa kuiita uchawi wao kuwa ni tambiko hatarishi..!! Once mchawi, always mchawiNabi Nasreddine alistahiki kupata adhabu kwani hakuwa fair kwenye mchezo licha ya kuonywa kwa Kadi ya Njano.
Mambo ya kupitia milango isiyokuwa sahihi kila siku tunawalaumu Yanga sasa Simba yametoka wapi? Nani ameshauri hili jambo la hovyo..!