TPLB yamfungia Kocha wa Yanga Nabi mechi 3 na faini laki 5 huku Simba SC, Azam FC, Coastal wakilimwa 1ml

TPLB yamfungia Kocha wa Yanga Nabi mechi 3 na faini laki 5 huku Simba SC, Azam FC, Coastal wakilimwa 1ml

Nabi Nasreddine alistahiki kupata adhabu kwani hakuwa fair kwenye mchezo licha ya kuonywa kwa Kadi ya Njano.

Mambo ya kupitia milango isiyokuwa sahihi kila siku tunawalaumu Yanga sasa Simba yametoka wapi? Nani ameshauri hili jambo la hovyo..!
Simba hawajawahi kuacha uchawi..!! Wanaroga hadi nje ya nchi..!! Tena huko nje ya nchi, wakawahurumia kwa kuiita uchawi wao kuwa ni tambiko hatarishi..!! Once mchawi, always mchawi
 
Simba hawajawahi kuacha uchawi..!! Wanaroga hadi nje ya nchi..!! Tena huko nje ya nchi, wakawahurumia kwa kuiita uchawi wao kuwa ni tambiko hatarishi..!! Once mchawi, always mchawi
Yanga na Simba wote huwa wanapita milango isiyokuwa rasmi kwenye baadhi ya michezo..! Na Yanga hapo jee?

Mchawi hawezi kumjua mchawi ila mwenzake yaani..!
 
Huyo nabi mshamba tuu,anaitwa profesa ila hana vigezo vya hilo jina ..anakuwa kama kocha wa ndondo cup..hii ni mara ya pili anafungiwa kwa kushambulia waamuzi .
 
Back
Top Bottom