Kuna vijana wengi mtaani highly commited ila ukiingia ofisi za TRA utafikiri wadada wako kwenye fashion show . Kazi hamna kazi yao kujipitisha pitisha. Tuki wa appraise fairly TRA arusha hakuna mfanyakazi performance yake itazidi 20% kwa siku na hii ni underperformance ya hali ya juu ambayo ni hasara ambayo iko obviousWaajiri vijana wachapakazi sio wauza sura