TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

NI VERY SERIOUS KAMA WAFANYABIASHARA WANALETA KODI TRA SIKU TATU NA KUSHINDWA KULIPA ETI MTANDAO. ILITAKIWA HADI SASA MENEJA WA TRA ARUSHA AWE YUKO BENCHI KWA UCHUNGUZI
 
Yaani Loss ya Tshs 1000,000,000per week/- halafu Meneja bado bado kakalia kiti? this is abomination na kiwango cha hali ya juu cha kukosa uwajibikaji. Meneja na timu yake wawajibishwe , period.

Hiyo loss ni Arusha tu bado hujaenda sehemu nyinginei tutajikuta cumulatively kwa wiki serikali inapoteza au ku delay kupata more that 50 bilioni
 
Waajiri vijana wachapakazi sio wauza sura
Kuna vijana wengi mtaani highly commited ila ukiingia ofisi za TRA utafikiri wadada wako kwenye fashion show . Kazi hamna kazi yao kujipitisha pitisha. Tuki wa appraise fairly TRA arusha hakuna mfanyakazi performance yake itazidi 20% kwa siku na hii ni underperformance ya hali ya juu ambayo ni hasara ambayo iko obvious
 
Watu tunaowahi tunashika namba lakini utashangaa mtu mwingine anakuruka anakwenda kuhudumiwa eti kwa sababu wanafahamiana. Hii nayo siyo haki kabisa. Kwa mfano mtu una namba moja hakafu zamu ya kuitwa ikifika unamwona mtu mwingine asiye na namba anaitwa . Maana ya namba ni kitu gani sasa?
 
Ninaandika huu waraka baada ya kusota TRA siku mbili na bado hata sasa sikupata huduma nataka nikajaribu tena mara ya tatu kama nitafanikiwa
 
Mh. Waziri wa Fedha Dr. Mpango naomba usikie kilio cha wafanyabiashara hawa ukafanye usafi katika eneo hili la arusha. Inawezekana ulipougua wali relax . Naomba kwa sababu ume recover waonyeshe hawa kuwa bado una nguvu na akili timamu. Hivi kama January wafanyakazi wa TRA wanakuwa wazembe hivi ikifika June si watakuwa wanaleta magodoro ofisini kulalia kabisa. TUNATESEKA KUTAFUTA HELA NA BADO TUNATESEKA KULIPA KODI? HEBU SERIKALI MTUFANYIENI WEPESI.
 
SERIKALI ITAKUWA INAJIDANGANYA KAMA INATAKA KUBORESHA MAPATO NA KUINUA UCHUMI WA NCHI KAMA HAITAKUWA NA MKAKATI THABITI WA KUIBOMOA NA KUISUKA UPYA TRA.

STRUCTURE ILIYOPO YA TRA NI MBOVU SANA NA IMECHANGIA KIASI KIKUBWA KUKWAMISHAMIKAKATI YA KUINUA UCHUMI WETU.
 
0800780078 hyo no kma kuna mtu alishawai piga na ikapokelewa naomba anyoshe mkono juu kiufupi nikichefuchefu
 
Back
Top Bottom