Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 423
- 90
haha hahaa mnafurahsha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakumaanisha FIRST CLASS bali FIRST DEGREE kwa maana ya SHAHADA YA KWANZA na si DARAJA LA KWANZA, kama ulishindwa kuelewa kitu rahisi hivyo wala usihangaike kuapply maana hutopata labda uende na MEMOQualification (i) First Degree or Advanced Diploma in Accountancy, Commerce, Finance, Business Administration, Tax Management, or its equivalent with at least an upper second class from a recognized Higher Learning Institution. OR (ii) Those lacking an upper second class in qualifications mentioned in item (i) but with a Post Graduate Diploma in Taxation or its equivalent from a recognized higher learning Institution.\age Limit: (30) years. Kwa Kipengele hicho cha First Class,inanifanya nikubali kabisa kwamba hapa hakuna kazi kwa sisi wajukuu wa Nyerere, Tayari zina wenyewe hizo. Kawaulize pale chuoni kwao MIKOCHENI wanatoa First Class ngapi kila mwaka???. NYAMBAAAFFFFFF!!!!!!!