TRA - Assistant Tax Officer

TRA - Assistant Tax Officer

Qualification (i) First Degree or Advanced Diploma in Accountancy, Commerce, Finance, Business Administration, Tax Management, or its equivalent with at least an upper second class from a recognized Higher Learning Institution. OR (ii) Those lacking an upper second class in qualifications mentioned in item (i) but with a Post Graduate Diploma in Taxation or its equivalent from a recognized higher learning Institution.\age Limit: (30) years. Kwa Kipengele hicho cha First Class,inanifanya nikubali kabisa kwamba hapa hakuna kazi kwa sisi wajukuu wa Nyerere, Tayari zina wenyewe hizo. Kawaulize pale chuoni kwao MIKOCHENI wanatoa First Class ngapi kila mwaka???. NYAMBAAAFFFFFF!!!!!!!
Hawakumaanisha FIRST CLASS bali FIRST DEGREE kwa maana ya SHAHADA YA KWANZA na si DARAJA LA KWANZA, kama ulishindwa kuelewa kitu rahisi hivyo wala usihangaike kuapply maana hutopata labda uende na MEMO
 
  • Thanks
Reactions: irk
Waongo tu hao TRA walitangza nafasi kibao mwezi wa pili! Mpaka leo hawajawahi kuita watu na haijulikani kama wliajili kinyemela! nilifuatilia sana kujua kama kuna watu waliitwa lkini wapi!
 
kuna watu waliitwa around may na wapo on training sasa hivi.
 
Try to browse kewnye web yao pengine wamesharusha!!
 
Back
Top Bottom