TRA - Assistant Tax Officer

Hawakumaanisha FIRST CLASS bali FIRST DEGREE kwa maana ya SHAHADA YA KWANZA na si DARAJA LA KWANZA, kama ulishindwa kuelewa kitu rahisi hivyo wala usihangaike kuapply maana hutopata labda uende na MEMO
 
Reactions: irk
Waongo tu hao TRA walitangza nafasi kibao mwezi wa pili! Mpaka leo hawajawahi kuita watu na haijulikani kama wliajili kinyemela! nilifuatilia sana kujua kama kuna watu waliitwa lkini wapi!
 
kuna watu waliitwa around may na wapo on training sasa hivi.
 
Try to browse kewnye web yao pengine wamesharusha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…