Unadhani akishaingiza bongo atauza kwenye soko lake maalumu?.... hapo ndio biashara inapoanza kuwa mbaya Ndugu yangu....Sjakuelewa, kwamba Kuna waagizaji wa mizigo nje ya Nchi na
Sio VAT registered?
VAT inalipwa kwenye utoaji wa mzigo bandarini. VAT inalipwa kutoka kwenye faida anapouza.VAT hatolipa ,labda kukusanya.
Waagizaji wote wanalipa VAT. Huku mtaani ndiyo kuna wafanya biashara hawajasajiliwa VAT. Kushindana nao hawa ni vigumu sana. Mfanya biashara ambaye haagizi lakini kasajiliwa VAT yuko kwenye hali mbaya hasa ukizingatia anauziwa jumla bila ya kupewa risiti kamili. Akitaka risiti kamili anarudishiwa pesa.Sjakuelewa, kwamba Kuna waagizaji wa mizigo nje ya Nchi na
Sio VAT registered?
Mfanyabiashara ambaye haagizi, lakini kasajiliwa VAT anauziwa jumla bila kupewa risiti.Waagizaji wote wanalipa VAT. Huku mtaani ndiyo kuna wafanya biashara hawajasajiliwa VAT. Kushindana nao hawa ni vigumu sana. Mfanya biashara ambaye haagizi lakini kasajiliwa VAT yuko kwenye hali mbaya hasa ukizingatia anauziwa jumla bila ya kupewa risiti kamili. Akitaka risiti kamili anarudishiwa pesa.
Suala hili linahitaji kuangaliwa kwa umakini na kutafuta ufumbuzi
Si wote ila ni wengi wao. Mara nyingi anapewa risiti pungufu. Sababu ni kwamba kwenye uagizaji thamani ya mzigo inapunguzwa. Sasa akitowa risiti kamili atapaswa kulipa VAT kubwa baada ya kutoa aliyolipa wakati wa kutoa mzigo bandarini.Mfanyabiashara ambaye haagizi, lakini kasajiliwa VAT anauziwa jumla bila kupewa risiti.
Swali kwanini hapewi risiti?
Je hiyo tabia imekua kanuni kwa kwa wauzaji wote wa jumla?
Kwa hiyo mkuu yapo mazingira ya kuhimiza kuepuka kulipa kodiSi wote ila ni wengi wao. Mara nyingi anapewa risiti pungufu. Sababu ni kwamba kwenye uagizaji thamani ya mzigo inapunguzwa. Sasa akitowa risiti kamili atapaswa kulipa VAT kubwa baada ya kutoa aliyolipa wakati wa kutoa mzigo bandarini.
Na kama muagizaji ataandika thamani halisi atashindwa kwenye bei kwa kuwa atalazimika kuuza juu kuliko wenzake.
Yapo.Kwa hiyo mkuu yapo mazingira ya kuhimiza kuepuka kulipa kodi
Uko sahihi. Tunahitaji mfumo ambao utahakikisha kila mmoja analipa kodi inayofanana kwa bidhaa zinazofanana.Yanapaswa ya shughulikiwe na wahusika na njia mojawapo ni kuwa na viwango rafiki vya kodi
Wanataka kuongeza mapato. Ila ukokotoaji huu ni wa muda mrefu sana.ushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
Hii na mie nadhani ingekuwa ndiyo njia sahihi- mengine ni wizi tu na karibu 10% inazidiushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
Yeah inatakiwa iwe hivyo ila TRA ni wapuuzi wanajua wengi hawajasomaushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
Vitu kama hivi vinahitaji wabunge wenye uwezo kiakili bungeni kama akina Zitto, Lissu, Heche etc kuweza kudadadavua jinsi isivyo halali...Naelewa- na mimi nadhani compounding ni wizi hivyo nikasema mtu atozwe 25 +10+18 = 53% kwenye thamani ya forodha.
La pili ni upi msingi wa kuongeza bima na ghrama za usafirishaji kwenye thamani ya forodha- kwa mfanya biashara kuna mantiki kwani lazima ghrama za kuagiza ziingizwe kwenye thamni ya bidhaa- ila mantiki hiyo siioni kwa TRA